Chriss Brown Drama Baada Ya Drama!! What Did He Do Again?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku nyingine tena, Drama nyingine tena, lakini sio msanii mwingine, msanii ni Yule Yule mkali ambae anadrama kibao, juzi wakaleteana noma na Frank Ocean. Sasa basi unakumbuka siku za nyuma Chriss Brown alidelete twitter account yake? na baada ya siku mbili au moja baadae akairudisha ilikuwa ni baada ya kujibishana sana na mtu kwenye twiiter. Drama za Chriss Brown muda mwingine huwa zinasababishwa na yeye mwenyewe au saa nyinine unakuta hausiki. Sasa basi Mshikaji Chriss Brown kufuatia drama yake na Frank Ocean juzi kati ameamua kufuta instagram yake na alikuwa akiandika meseji za drama ile mbaya na kutangaza kuondoka kwake yani kufuta instagram yake, Swali ni kwamba, Je Chriss Brown atarudi tena instagram kama alivyofanya kwenye twitter au ndo ntoleeeee? Turn Up Lol!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Check out my other article about imvu or go to for more information. txt is nice,
    included by the creator of the brushes, and tells you where to place this brush set.

    IMVU grew its revenue primarily by increasing the sale of virtual currency to its members, who use that currency
    to purchase virtual goods ranging from clothing for their
    avatars to furniture for their rooms.

    Also visit my homepage private tool to generate free imvu credits

    ReplyDelete

Top Post Ad