Makalio yangu Ndio yalisababisha Video kupigwa Marufiku Kuoneshwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Yule msichana anaesadikika kusababisha video ya P-Unit "YOU GUY" kuzuiwa kuoneshwa na kituo cha Televisheni cha Citizen nchini Kenya, Vera Sidika (pichani) azungumzia sakata hili linaloendelea nchini humo.

Vera akilizungumzia suala zima, anasema, "Ina maana Citizen TV hawaoneshi video za Rihanna akiwa nusu uchi, wanaonesha video nyingi za aina hii kutoka ughaibuni ambazo si nzuri. Hata hivyo hiki ni kizazi kipya. Nilikuwa nimevaa gauni tu."

Vera alipoulizwa kuwa, anadhani video hii imezuiliwa kwa sababu yake, alijibu "Binafsi, sidhani kama kweli, labda ni kwa sababu ya mwili wangu ndo maana wanapindisha maneno, kama ingekuwa ni msichana mwembamba isingeonekana kuwa ni mbaya ila kwa sababu ya matako yangu, watu ndio wanachanganyikiwa na hilo"
Bonyeza Kusoma Zaidi:

Mapema mwaka huu, Citizen TV iliifungia video ya P-Unit inayojulikana kama "You Guy" kutokana na kuonekana kwenda kinyume na maadili.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao citizen inamaana hawaoneshi nyimbo za beyonce ni wambea 2

    ReplyDelete
  2. usipende kuiga. huo ni ulimbukeni, nani kakwambia mitako yako tena ya kichina inapagawishaa, acha ufala wa kumuiga rihana, huwezi kujilinganisha na rihana hata kwenye ukucha, pale ww ni kidampa,punk ass

    ReplyDelete

Top Post Ad