[Picha] Hatimaye Mwigizaji Lulu Aachiwa Kwa Dhamana Leo...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imemuachia kwa dhamana msanii wa maigizo wa hapa nchini, Elizabeth Michael ( Lulu ) aliyekuwa mahabusu katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam kwa mashtaka ya kumuua msanii mwenzie Steven Kanumba [R.I.P].
Wiki iliyopita mawakili wa muigizaji huyo waliwasilisha maombi ya dhamana kwa mahakama kuu ya Tanzania.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad