google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Picha za Lulu Akirudishwa rumande Baada ya Msajili Kutokuwepo Jana. | UDAKU SPECIAL

Picha za Lulu Akirudishwa rumande Baada ya Msajili Kutokuwepo Jana.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Kuna taarifa zilisambazwa kwamba Lulu alichukuliwa na gari binafsi la familia yake baada ya kutoka Mahakamani, ukweli ni kwamba alichukuliwa na gari la Magereza kama unavyoona hizi picha baada ya Mahakama kumpatia dhamana yenye masharti ambayo upande wa Lulu ulisema yote yametimia na wanachosubiri ni uthibitisho wa Msajili ambae ndio angeruhusu Lulu kutoka.
Picha zaidi zipo Chini






Picha na Millard Ayo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad