Picha:Mke wa Kigogo afumwa kwenye Danguro la Machangudoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katika hali isiyokuwa ya kawaida,mke wa kigogo mmoja ambae anacheo kikubwa hivi karibuni alibambwa kwenye danguro moja lilipo maeneo ya Sinza jijini Dar akijiuza. Habari zaidi toka kwa watu wa karibu wanaomjua mwanamke huyo maarufu kwa jina la Mama Amina zinadai kuwa yeye ni mke wa pili wa kigogo mmoja anaefanya kazi kwenye Wizara moja nyeti ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania.
Aidha watu hao waliiambia xdjayz  Jijini Dar kuwa mwanamke huyo alifikwa na balaa hilo katika msako mkali unaoendelea wa Polisi Kanda ya Kinondoni wa kuwakamata machangudoa wote wanaojiuza.



Habari zaidi ziliendelea kusema kuwa kigogo huyo ana familia nyingine ambayo inaishi maeneo ya Mbezi Beach .
Huyu  Mama Amina amempangishia nyumba maeneo ya Sinza Mori na amekuwa akimpa huduma zote muhimu...

Cha  kushangaza ni kwamba  kila mumewe akiondoka nyuma huenda kujiuza.
Mwandishi wetu jana alifika kituo cha Polisi Oysterbay na kushuhudia kundi la machangudoa hao wakipelekwa Mahakamanikwa gari ya Manispaa pamoja na gari ya polisi akiwemo mwanamke huyo wa kigogo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad