Tahadhari kwa Wanao Tafuta Kazi-Utapeli Huu unaendelea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna watu wanao fanya utapeli wa kujifanya wanawatafutia watu kazi alafu unamlipa elfu ishirini kwa njia ya tigo pesa ,Hii hapa ni Message moja wapo inayotumwa kwa watu wanaotafuta kazi....Ukipata message kama hiyo hapo chini wala usiangaike kuijibu itakula kwako.

"Habari, naitwa Rachel from Nexon international hapa dar, nipo kwenye kikao tunapitia cv tupate people to interview for accountant post, i like your cv an like to help you. nataka kukusaidia upate kazi hii kwa sharti lifuatalo, mshahara ni 1.5 million Tshs. ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa shs. Laki 3 for helping you, kama upo tayari do the following, by saa 11 jioni uwe umetuma scanned copy ya vyeti vyako to visionafrica@gmail.com na sh Elfu 20 by tigo pesa kwenye hii namba 0713749735 au mpesa 0767208704 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia by email. nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview."
Ndo hii msg ya huyo tapeli Rachel jamani we should be careful!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. http://beautytouchdar.blogspot.com/2012/03/nahitaji-kuolewa-sasa-ila-sipati.html

    ReplyDelete
  2. Kuna kazi imetangazwa ya Loan officer trainee; sifa Diploma au form six/four mwenye certificate ya biashara. tuma cv tituss20022002@yahoo.co.uk

    ReplyDelete

Top Post Ad