Wazanzibari mbaroni kwa biashara ya kununua wasichana TZ na kwenda kuwauza Uarabuni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sakata la biashara ya binadamu ambalo limeibuka kwa kasi nchini limeanza kufanyiwa kazi na serikali baada ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Maji kuwatia mbaroni mawakala watano ambao ni wanawake wakituhumiwa kujihusisha na biashara hiyo.
Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Maji, Mboje Kanga, akizungumza na NIPASHE jana kuhusu hatua ambazo zinachukuliwa na jeshi hilo kukabiliana na tatizo hilo, alisema mawakala waliokamatwa ni wakazi wa Zanzibar na kwamba hatua za kisheria zimeanza
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UNAFIKI MTUPUU HAMUWEZI KUIZIMA NURU YA ALLAH KWAKUTUMIA VINYWA VYENU VIBARAKA NYINYI MLOKOSA LAKUFANYA. HEMU TOENI MABORITI YA MACHO YENU NDIO MTIZAME VIBANZI VYETU PUMBAVU ZENU

    ReplyDelete

Top Post Ad