30 Jan 2013

Wema Sepetu Amlipiza diamond Amuanika Pichani Boyfriend Mpya


Wema Sepetu  ameamua  kuhamishia majeshi  yake  kwa  kiserengeti  boy  ili  kulipiza  kiasi  kwa X wake  wa zamani, DIAMOND.....

Huyu  ni  Haidary Cavilla  ambaye  ni mchumba  wa  miss  Tanzania namba  2 ,mwaka  2000, aitwaye  Mercy Galabawa....

Kama kawaida, jamaa  ni  mdogo kiumri akilinganishwa na Wema, lakini  inasemekana  kwama  Haidary  anamiliki  mkwanja mrefu  ulioichanganya  akili  ya  Wema Sepetu  hasa  baada  ya  kununuliwa gari aina  ya Audi Q7.....

Picha  hizi  zilipigwa


 nyumbani  kwa wema  sepetu na  hatimaye  kuvuja  mitandaoni,hali inayoashiria  kulipiza  kisasi kwa Diamond  baada  ya kunaswa  akiwa  na  Penny....

  Wema sepetu ni mrembo anayekabiliwa na   skendo  chafu ya kubadiliwanaume kama  nguo.Alianza na..

1.HERRY SAMIR
2.KHALEED MOHAMED
3. Marehemu STEVEN KANUMBA
4.JUMBE YUSUPH  JUMBE
5.CHARLES GABRIEL
6.DIAMOND PLUTNUM
7. CLEMENT  ( Bado  wako pamoja)
8. HAIDARY CAVILLA
Na wengineo......       

Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

20 comments:

 1. sasa hao mbona wachache tu....hamjiulizi nyie mshatembea na wanaume/wangapi kwenu huko...kuna wengine wanao thelathin huku na bado wanaonekana madecent...

  ReplyDelete
 2. Yani ukiisha kuwa star basi tabu....bongo hamuishiwi na la kusema, wengine waliokwisha kuwa na ma bf zaidi ya hao mbona hamuwasemi?
  Halafu eti analipiza kwa diamond...sasa mlitaka abaki mwenyewe mpaka lini? Life goes on...
  Halafu pls mnauhakika gani kama huyo kaka hapo ni mdogo kwa wema???
  Wema my dear live your life, if u have haters then that means u are doing something right!

  ReplyDelete
 3. Kiweke kwenye danguro koz hakina ladha tena.

  ReplyDelete
 4. Kw raha zake na maisha yake

  ReplyDelete
 5. Wema kwa raha zako kula maisha bana tunakupenda

  ReplyDelete
  Replies
  1. Kula bata tu Wema hayo ndio maisha mungu kakupangia tangu tumboni kwa mama yako so haya ni mapitio tu kazi ishafanyika muda mrefu matumboni mwa mamam ze2

   Delete
 6. U Super Star ndiyo unamponza Wema Sepetu, suala la kuwa na uhusiano na watu wengi imekuwa ndiyo tabia ya watu walio wengi ila wengi wao wanakuwa na mahusiano ya watu wengi kwa siri mno na hii ni mbaya sana kwa sababu ukiwa na mtu wa aina hii ni rahisi kushawishika kumuamini kumbe ndiyo mbaya zaidi ya Wema Sepetu.

  ReplyDelete
 7. jaman muachen,kila mtu na maisha yake kwenye hii dunia mbona wapo wengi wa dizain hiyo na hamuwasakamii?

  ReplyDelete
 8. jaman huyo Haidary umesema ni mchumbba wa Mercy Galabawa au nimesoma vibaya?? kati ya Mercy na Wema nani ni mkubwa kiumri?? mbona mnamuandama mtoto wa watu...

  ReplyDelete
 9. Kwa raha zako wema.ata ukiwa na wanaume 800 kinawauma nini kazi kuchunguza ya watu tu. Kila mtu ana uchi wake jamani yanini kufatana fatana.

  ReplyDelete
 10. Respect matters Wema.. Usiache wana habari waendelee kukuchafua wakati mtu dada zake nyumbani wote malaya.!!!

  ReplyDelete
 11. 2kichua ndo itatusaidia nn wa2 wametofautiana tabia jaman!

  ReplyDelete
 12. inawezekana huyu dada bado hajakua ,labda aliruka stage ,ila akikua ataacha upuuzi wake

  ReplyDelete
 13. Mwacheni na maisha yake jamani!
  kila siku Wema wengine hamuwaoni?au ndo anamake headlines?

  ReplyDelete
 14. jaman ana haki ya kupendwa, na magazeti yanavyomtangaza too much, mbona kawaida tuu. msimseme yy peke yake, huyo diamond mbona kabadili kibaoo. muachane na maisha yake

  ReplyDelete
 15. Huyu dada sasa muacheni,kitu kidogo yeye,kikubwa yeye,mbona mazuri yake hamyasemi?achen kufuatilia maisha ya watu.

  ReplyDelete
 16. Mimi hata akinipa leo napiga kama kawaaa mtotoo mzuriii yuleee alaaaaah! Lazima nihakikishe namlaaa!

  ReplyDelete
 17. Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.

  ReplyDelete
 18. Kwa raha zake

  ReplyDelete


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger