Aden Rage: Sifikirii Kuhusu Mkutano Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema hafikirii suala la mkutano kufuatia kuelekeza nguvu yake katika mechi za timu yake ambayo ipo Kanda ya Ziwa.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Rage alisema anachoangalia ni kuhakikisha timu yake inafanya vizuri katika mechi zilizobaki, masuala mengine ikiwemo mkutano mkuu wa klabu yake kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya wanachama wake atayaangalia baada ya michezo inayowakabili.
“Nahitaji kupumzika, mawazo yangu yapo katika mechi za Kanda ya Ziwa, kuhusu suala la mkutano mkuu wanaopaswa kuniuliza ni wanachama wa Simba, hivyo kwa sasa sifikirii hilo,” alisema Rage.
Wakati Rage akisema hayo, tayari timu yake imepoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, juzi kwa bao 1-0, kesho inatarajiwa kukipiga dhidi ya Toto kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza..
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad