Amenisomesha, Kaninunulia Gari Lakini Sina Mapenzi Naye! Nifanyeje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 Naishi Tabata jijini Dar nimejitokeza kwenu kuomba ushauri, Mimi na mpenzi wangu ambae amenisomesha toka form one hadi sasa nipo chuo kwani wazazi wangu walifariki wakati mimi nikiwa mtoto mdogo sana.

Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.

Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani.

Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna msimamo kama ulikuwa una mapenzi na mashoro kwa nini usingekataa mapema ofa yake vumilia na huyo mshamba wako .kwani hakuna mshamba mwenye ela .kila mwenye ela ni mjanja kama vipi .acha ulimbukeni hao masharo kila siku wanazaliwa wapya.kama mimi nilikuwa sharo wa zamani kwa sasa sina jipya .na kuhusu elimu tunasoma ili tupate ela sasa kama hela anayo unataka asome nini.ukirudia kuzungumza upumbavu huu ntakukata viba.we si unamuona bakhresa amesoma yule ? Sema ukweli kama ana mb**** ndogo tukuelewe.JITAMBUE

    ReplyDelete
  2. Huna msimamo kama ulikuwa una mapenzi na mashoro kwa nini usingekataa mapema ofa yake vumilia na huyo mshamba wako .kwani hakuna mshamba mwenye ela .kila mwenye ela ni mjanja kama vipi .acha ulimbukeni hao masharo kila siku wanazaliwa wapya.kama mimi nilikuwa sharo wa zamani kwa sasa sina jipya .na kuhusu elimu tunasoma ili tupate ela sasa kama hela anayo unataka asome nini.ukirudia kuzungumza upumbavu huu ntakukata viba.we si unamuona bakhresa amesoma yule ? Sema ukweli kama ana mb**** ndogo tukuelewe.JITAMBUE

    ReplyDelete
  3. dah! Shukrani ndo hyo!
    Dada 2lizana ili mradi unapata kila unacho hitaji,
    kama mapenzi akurizisha, tafteni clinic ya mapenzi mpate ushauri nyote!
    Angali usije sababisha vita ya mawe wakati unaishi katika nyumba ya vioo...
    Sidhani kama waweza himili.

    ReplyDelete
  4. We n fala 2!
    Ulikuwa wap kushituka mapema mpaka umefikia hapo ndo unaona kuwa n freemason !
    Aaaaaaaaaaalaah!

    ReplyDelete
  5. Aiseee dada hivi unajua ulichokiaandika kweli? Yaan unachana na mtu anayekupenda na aliyekusaidia mpaka leo unajua na hao msharo? Khaa acha ulimbukeni dadangu, tulia na acha mapepe

    ReplyDelete
  6. Mungu weww mwigope mungu. Huyo sharo atakachokutenda utarudi kwa kutambaa na tumbo kwa huyo kaka na yeye hatakua tena muda na wew. Kaa chini muombe mungu akusaidie.

    We hukujua siku zote kuwa huna mapenz nae mpka akakaufanyia yote hayo. Mjalaana wewe

    ReplyDelete
  7. Thobias Jaskson7 March 2013 at 14:09

    Hamna kitu kinachoumiza duniani kama mapenzi,sikuzote wanaopendana ndo huwa maadui wakubwa endapo penzi likifa,
    vita vingi pa1 na migogoro itokeayo duniani ni sababu ya mapenzi na siasa hakuna kingine,
    Mtu aliyekaribu na wewe ni virahisi sana kukudhuru sababu anajua weakness zako,angalia mapenzi yanaua na endapo ukamkubali huyu sharo maisha yako pa1 na ya sharo yatakuwa hatarini.
    Sit down and think twice about this,wish you all the best!

    ReplyDelete
  8. Kweli nimeamini maskini akipata matako hulia mbwata we c yatima ww? Na yeye c ndo alkuwa faraja na msaada kwako mpaka ukapata iyo elimu sasa unamletea madharau hajasoma.!?kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha we mwache utajuta nakwambia malipo ni hapahapa duniani na we umejuaje ye ni freemason km we sio mwanachama??

    ReplyDelete
  9. Acha utoto ulipoanza kutumia fedha zake ukujua mbele kitatokea nini? achana na sharo huyo ana mapenzi ya kweli.unapokula na kipofu usimshike mkono kadadaa.nahic Elimu yako haijakukomboa bado unahitaji elimu zaidi.

    ReplyDelete
  10. hakuwa freemason wakati anakulea,kukusomesha na hatimaye kukununulia gari!!!amakuja kuwa freemason baada ya wewe kukutana na sharo!!!nafikiri wewe huko chuo husomi manake huonekani kukua kiakili bali unazidi kuwa chizi!!mimi naona wewe ndo huna elimu japo unadai uko chuo.

    ReplyDelete
  11. kuma la mbuzi wewe.... Unakimbia 2ru love unaenda kwa masharo?! Senge kweli...

    ReplyDelete
  12. iv ww ni mtu wa aina gani?bahati uliyopata kila mtu anatamani,mvulana umwonae mshamba wataka wa mjn leo kesho kuachana,unaweza usione ilo sa iv ila mbeleni utajuta,,wewe unauwezo mkubwa wa kumbadlsha utakavyo taratibu,wasomi co kigezo,amua sasa kumpenda na kumrekebsha taratibu,huyo sharo mpendane aje,cku utakuja kujuta.na kwa jns utakavyomruhusu sharo karibu yako ndio jns utakavyopoteza bahat ya furaha milele maishani mwako.hujui bahat uliyoipata ulimwengu uu usio na mapenzi ya dhati.we chunga

    ReplyDelete
  13. dada yangu, naomba Mungu akupe hekima ktk kuamua.
    Ushauri wangu inaonesha huyo kaka aliyekutunza ana mapenzi ya dhati kwako na ndio maana ameweza kuvumilia yote na kukupa mapenzi yake yote.
    Mume ni kichwa cha familia na inaonekana huyo kaka ni kichwa as anakuongoza ktk mambo ya maendeleo. Mwanaume si muonekano tu bali anayekupenda, kukuheshimu na kukuthamini. Epuka ushauri wa mashoga.
    Uamuzi ni juu yako na Mungu akusaidie ktk hilo

    ReplyDelete
  14. Daaaah ww dada unawashwa unaonekana malaya wa ku2pa yani unachezea shilling shimoni...!!! Ok nenda kwa sharo wko alafu utaona chemsha makunde siku akija kukutosa hlo sharo nyangema lako...fuck u n ur sharo

    ReplyDelete
  15. kama humtaki hana herimu mrudishie garama zake arafu ukaishi na uyo mpumbavu mwenzako mshazoea kututia asara nasiku akikukuta na uyo mpumbavu atakutoa roho kama unabisha jaribu nyooooooooooooo tamaa tu zimekujaa ndiyo mana mnafirwa











    ReplyDelete
  16. wew ndo umbadilishe coz unapenda masharo so fanya mpango kwa ku2mia pesa zake ili awe poa zaid ya unao waona

    ReplyDelete
  17. elimu sio lile karatasi gumu unalopewa baada ya kugraduate, elimu ni uwezo wako wa kimaendeleo na katika kumudu maisha yako ya kila siku, jamaa ana akili sana kuliko hata wewe na sharo wako ambao mnaonekana mpo kingono zaidi, mtu hadi anakwambia mjenge nyumba mpangishe muongeze kipato bado unaona hakufai hivi unataka nini wewe? sana sana huyo sharo ndio atataka wewe umuhudumie baada ya kukuona una gari. unachezea shilingi kwenye tundu la choo. utajuta wewe mjinga

    ReplyDelete
  18. wewe dada akili huna we ni poyoyo tu,elimu yko umeipata toka kwa huyo ambaye hana elimu,kajiuze uko malaya mkubwa, fuck u

    ReplyDelete
  19. Kama ni mimi utanifanyia hivyo basi nakuulia mbalini. kwani hapo mwanzo ulikuwa hujui kama mimi sina elimu na sio sharo?

    ReplyDelete
  20. Kama ni mimi utanifanyia hivyo basi nakuulia mbalini. kwani hapo mwanzo ulikuwa hujui kama mimi sina elimu na sio sharo?

    ReplyDelete
  21. hivi we dada hujui masharo ni wa pita njia 2,atakuchezea 2,halafu elimu cio kigezo cha mapenzi na kama ulikuwa humpend basi ungekataa hata msaada wake kabla hujafika hapo ulipo,dharau pia ni ki2 kibaya sanaaa kuwa mwangalifu,usimdharau m2 hata kama unamzidi kielimu coz tunasoma 2 kwa sababu ya pesa.

    ReplyDelete
  22. Wewe dada boya kweli!waswahili wanasema "bora unyamaze wa2 wakuone mjinga kuliko kuongea kudhihirisha upumbavu wako" Eti hana elimu,mimi nadhan ww umefika hadi chuo lakini hujaelimika. dhumuni la elimu ni uwezo wa kujitambua ili kukabiliana na mazingira yako na co kupata cheti ukaoombee kazi kama ww mpumbavu unavyofikiria.Kama humpendi kwa nini unachukua vyake,pumbavu ww huna shukrani

    ReplyDelete
  23. Mimi nawasihi wasichana wenzake ambao wenye akili timamu wanaojua utu, wanaojua upendo wa dhati, wanaojua nini maana ya fadhila hebu mshaurini huyu bwege maana anachafua tashwira ya wanawake wote ambao hata wengina wana tabia njema. jamaa alikufanyie utu kukufikisha huko uliko, ulikuwa mshamba, kakutoa ushamba eti sa hizi umemzidi. siendelei. maana naweza kutukana matusi ambayo hajawahi kuyasikia tokea dunia hii imeumbwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad