Anorld Kayanda Kavunja Ukimya Kuhusu Kutosikika Tena Clouds FM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Baada ya Anorld Kayanda kutosikika Redioni kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa na Maswali mengi juu ya hilo..Leo ameamua kuweka wazi kwa kupitia facebook Page yake na kuandika Haya:

"Napenda kutumia nafasi hii kwa namna ya pekee kabisa kuzungumza na Marafiki ambao mara zote mmekuwa mkiuliza juu ya ukimya wangu Redioni. Jibu ni fupi kabisa,imetokana na Maamuzi yangu ya KUREJEA MASOMONI hali ambayo kwa bahati nzuri imepewa Baraka na Viongozi wangu. Pengine hutanisikia Redioni lakini Mchango wangu wa namna mbali mbali utaendelea kuhifadhi hadhi ya U-Super Brand wa Clouds Media Group. Masomo yameweza kuiingilia Kazi yangu lakini kamwe hayataweza kuutenganisha urafiki wangu na nyinyi. Tuendelee kuwasiliana hapa na katika Twitter @arnoldkayanda au kwa namna yoyote tutakayojaliwa. Bless"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Clouds walizid mno kuwa vilaza jamani beta sasa wameamka wanakwenda shule. Afadhali. Wataona hatajinsi ya utangazaji wao utakavyokua bora. Maana mmmh ilikua tu ukiuliza redio ya masupee star ambao kwao no shule jibu lilikua moja tu.=clouds

    ReplyDelete

Top Post Ad