Diamond Platnumz Awatibua Waislam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMUZIKI Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni aliwachefua waumini wenzake wa dini ya Kiislam baada ya kutinga kwenye Maulidi akiwa amevaa hereni na cheni.

Tukio hilo lilijiri maeneo ya Tandale, Dar ambapo mama yake aliyemtambulisha kwa jina la Aunt Shani aliandaa maulidi kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Akiwa mmoja wa waalikwa, Diamond alinaswa akiomba dua sambamba na rafiki yake aitwaye Remeo Jones ‘RJ’ huku akiwa amevaa kanzu safi na balaghashia lakini akaharibu kwa kuvaa hereni na cheni.
Kitendo hicho kiliwachefua Waislam ambapo baadhi walifikia hatua ya kumchana laivu kuwa, alichokifanya kilikuwa kinyume na Uislam.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo cio nidhamu kabisa

    ReplyDelete
  2. Mungu amkumbushe inshaa llah. Na ambadilishe

    ReplyDelete
  3. aache usenge..awe na adabu na sehem za hexhima

    ReplyDelete
  4. Diamond anamtania m/mungu kama kweli yeye ni muislam haiwekani kwenda maulidini huku amevaa herini machani utafkir anakwenda club hapendezi kwa mtoto wa kiislam kuwa mstarabu na dini yako diamond.

    ReplyDelete
  5. hao waisilamu niwaoga nao nikitendo cha kumcharaza bakora kama hatak kutoa muondoeni

    ReplyDelete
  6. Yaani alichokifanya ni sawa na kuchanganya uji na mlenda..kwa mujibu wa dini ya kiislamu mwanaume yeyote atakayejifananisha na mwanamke kwa mavazi n.k. amelaaniwa mtu huyo....So hawa wasanii wachunge sana mipaka ya Mwenyezi Mungu kwani kwenye dini ya Mungu hakuna usharobaro

    ReplyDelete

Top Post Ad