Haya Ndio Masharti Kama Unataka Kumuoa Msanii Snura

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MSANII wa filamu na muziki mwenye mvuto wa aina yake Snura Mushi ‘Snura’, ameamua kutoa la moyoni kwa madai kuwa sasa anatafuta mwanaume wa kuweza kufunga naye pingu za maisha lakini kwanza kabisa akubali kumpa muda mrefu wa kutafuta pesa ili asiwe tegemezi baada ya kuingia ndani ya ndoa hiyo.

Kauli ya msanii huyu imekuja mara baada ya mwandishi wa DarTalk kupiga naye story za hapa na pale ndipo alipounganisha ishu hiyo, kwa kudai kuwa si kwamba hataki kuolewa bali hataki kuishi ndani ya ndoa na kuwa tegemezi kwa mwanaume.

“Sitaki kuishi na mwanaume kabla hajakumbali kunipa muda wa mimi kutafuta pesa najua anaweza kuwa na uwezo wa kila kitu lakini hivyo vyote vitakuwa vya kwake na mimi natakiwa kuwa na mali zangu, lakini bila hivyo nitazeekea kwangu,” alisema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kutirii double cabin, kutirii kabati ya mbehoo, kutirii radio ya picha nk kwa nyie wamachame kwenu ni kawaida.

    ReplyDelete
  2. Hapo upooo chako ni chako2 .mwanamke kujushughulisha kubweteka ilikuwa zaman.nadhan umenipata

    ReplyDelete

Top Post Ad