Hayawi Hayawi...Jack Chuzi Abadili Dini na Kuolewa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Katika Hali ya Kushtusha na Kufuraisha....Staa wa Bongo Movie Jack Pentezel
Amewashtusha wengi baada ya Kuamua kubadili dini kuwa Muislamu kisha
kuolewa na Mpenzi wake wa Muda Gadner Dibibi....wadau wengi na wapenzi
wa Bongo Movie wamekuwa wakihoji juu ya Ndoa Hiyo iliofungwa kisiri sana
na kwa haraka,Je Ndoa Hiyo Itadumu? Je ni kweli wamehamua kukaa kwenye
Maadili ya Ndoa..? au Ni kama Mchezo wa Mjini kubadilishana Dini na kuoana
mwishowe ni kuachana....Tusubiri Tuone.....
This Is Diamond inapenda kumtakia Jack Pentezel na Mumewe Gadner Dibibi
Baraka Tele,Amani na Upendo utawale kwenye Maisha yao ya Ndoa..
Angalia Picha Hapa Chini:




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sio mbaya tuwaombee Mungu ailinde yao iwe ya mda mrefu, Hongeren maharusi!

    ReplyDelete
  2. Nawatakia kila la heri katika maisha yao mapya ya ndoa

    ReplyDelete

Top Post Ad