Help:Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wadau wa Udakuz
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo c saizi yko. Kwanza n mke Wa mtu

    ReplyDelete
  2. Usiharibie mke wa wenyewe nyumba yake! Tafuta mwengine na uwache kuzini na macho!

    ReplyDelete
  3. Duuuuuuh sio mchezo

    ReplyDelete
  4. mke wa mtu wewe

    ReplyDelete
  5. mke wa mtu wewe

    ReplyDelete
  6. Mke wa mtu sumu......

    ReplyDelete

Top Post Ad