Homa ya Kuwa na Makalio Makubwa Inavyowatesa Wanawake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanadada Vanity Wonder ameamua kuandika kitabu kusimulia kwa nini aliamua kutumia kiasi cha dola 15,000 kuchoma sindano za kukuza makalio.

Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.

Anasema wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.

Vanity anavyoonekana sasa baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.

Anasema kuwa kwenye process wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa kudumu na matatizo mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu fulani kafanikiwa kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa wataalam wa vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na ulemavu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umezidi kukopi bhana dah yani kuwa mbunifu wa story

    ReplyDelete
  2. Yani hii story ya long time duh
    Weka story ambazo ni latest jamani, maana hii ni ya mwaka juzi

    ReplyDelete
  3. ila nyie mnaokomplain mwanipa raha sa km kumeandikwa ktu ushasoma kuna tendo linaitwa kupita tu...we ulisoma ila jiran yako labda hakupata bahat kipind hcho sa saiv c atafaidika ama

    ReplyDelete
  4. Mim kwangu hii ni mpya ndo kwanza naisoma leo ila wanavutia kinoma

    ReplyDelete
  5. waandishi mmezii bwana mnaweka kichwa cha habari kizuri lakini stori wenyew finyu kausheni andikeni ukweli ulio ktk iyo story ahh

    ReplyDelete

Top Post Ad