Jay-Z Awajibu Wanaosema Anajihusisha Na Jamii Za Kishetani...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumekuwa na rumors kwa Jay-Z kuwa katika muunganiko na jamii ya kishetani ikifahamika kama FREEMASON ikiwa inaongelewa sana kwa miaka ya hivi karibuni. Huku ikionekana ikiwa imetulia kwa sasa, lakini bado majadiliano yanaendelea.

Akifanya interview na Jarida la Delta Airlines SKY MAGAZINE, Hip-Hop star Jay-Z aliulizwa kuhusu ushiriki wake huo, na kujibu kuwa ni kwamba wale wanosema hivyo ni kwamba hawapendi maendeleo yake na inakuwa hivyo zaidi hasa wanapoona wao wamefeli.

Jay-Z, "It may sound a little arrogant, but I just think people can't handle when somebody else is successful," Jay said in the mag's feature. "Something has gotta be wrong; you gotta be down with some higher power. And I guess when someone else is successful, it makes you feel like maybe you're a failure. So it can't be you, it has to be some other force."

Mara ya mwisho Jay-Z kuliongelea hili ilikuwa ni mwaka jana ikiwa ni kwenye wimbo wa rapper Rick Ross "Free Mason," ambapo alikataa kuwemo kwenye jamii hiyo inyofanya mambo yake kwa vificho.

Jay-Z alirap "I said I was amazing, not that I'm a Mason / It's amazing that I made it through the maze that I was in / Lord forgive me, I never woulda made it without sin / Holy water, my face in the basin / Diamonds in my rosary shows he forgave him / B**** I'm red hot, I'm on my third six, but a devil I'm not,"

Jay amekuwa ni mmoja wa rappers nchini Marekani wanaohusishwa na MASON kwa muda mrefu sasa, wengine ni Kanye West na 50 Cent.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamaa ana digrii ya 3 Umasonic, na ana cheo kikubwa ktka jamii hiyo, Yaani aangalii ata cha kudanganya na wakati matendo yake na ishra zake zpo wazi kabsa

    ReplyDelete

Top Post Ad