Kocha Yanga Awakataa Boban, Sunzu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KOCHA Mkuu wa Yanga, Ernie Brandts amefunga milango ya usajili kwa baadhi ya nyota wa Simba baada ya kutamka kwamba hataki kusajili wachezaji wakongwe kwa sasa.

Kauli ya Brandts inakuja wakati ambapo Simba imewasimamisha baadhi ya mastaa wake wakongwe wakiwemo Felix Sunzu, Haruna Moshi ‘Boban’, Abdallah Juma, Paul Ngalema, Mwinyi Kazimoto, Komambil Keita na Juma Nyosso huku baadhi yao wakihusishwa kwenda Yanga.
Brandts ameliambia Championi Ijumaa  kuwa hataki kusajili wakongwe kwa kuwa lengo lake ni kuwekeza katika damu changa ambayo ni hazina kubwa katika timu.
“Akili yangu sasa naielekeza katika kusajili wachezaji vijana zaidi, hata kama kuna wachezaji nitawapata hapa Tanzania, siyo wale wenye umri mkubwa, nataka wenye rika lisilozidi sana kama kina Simon (Msuva) au Jerry (Tegete).
“Haina maana kwamba sitakuwa na wachezaji wenye uzoefu, kwa sasa ninao wazoefu na wana uwezo mkubwa, ukisajili wakongwe hawawezi kudumu kwa muda mrefu,” alisema Brandts
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad