Kufuru:Mtoto wa Miaka 8 Afunga Ndoa na Kibibi cha Miaka 61

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 MWANAFUNZI wa kiume mwenye umri wa miaka minane amemuoa mama mwenye umri wa miaka 61.

Kijana huyo Sanele Masilela alisimama mbele ya watu 100 na kufunga ndoa na Bi Shabangu, mama mwenye watoto watano .

Wawili hao walivalishana pete na kupeana mabusu motomoto Katika sherehe zilizofanyika Tshwane nchini Afrika Kusini, huku Sanele akidai mizimu ya mababu zake walimuamuru afunge ndoa hiyo.

Hata hivyo ‘wana ndoa’ hao hawakusaini cheti cha ndoa na wala hawaishi pamoja.

Selele alisema: “Nilimwambia mama yangu kuwa nataka kuoa, nina furaha kumuoa Hellen”.

Familia ya Selele imesema ndoa hiyo ni ya kiibada (kijadi) tu na wala siyo ya kisheria.

Mama wa Selele mwenye umri wa miaka 46 alisema babu wa mwanae alimtaka mjukuu wake aoe kabla hajafariki na akamchagua Hellen kwa kuwa alimpenda.

“Kwa kufanya hivyo mizimu ilifurahi. Kama asingetii basi jambo baya lingetokea kwenye familia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Long time sn hiyo story afu hujaimalizia,huyo mtoto alisema atasoma na akikua ataoa mwanamke anaempenda wa umri wake coz huyo ilikua issue ya mila nasi vinginevyo.

    ReplyDelete
  2. Suggestion kwa "poster" wa hii blog...

    UKiwa unaandika habari naomba uwe unaweka na link ya website ulikotoa hizo habari au refference nyingine yoyote ili tuhakikishe maana umezidi kuweka story za uongo na za zamani sana...badala ya kuweka watu wawe 'up to date" wewe unafanya vya opposite...hii habari huyo mtoto sasa hivi kaishakua sana ....na story umeionhezea vikolombwezo kibao

    ReplyDelete
  3. Sorry for the typing error...nilimaanisha "story umeiongezea vikolombwezo kibao"

    ReplyDelete

Top Post Ad