Ladies: Je Mnajua Thamani ya Nguvu Mliopewa na Mwenyezi Mungu?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Laiti Wanawake wangejua thamani ya Nguvu waliyopewa na Mungu wasingekuwa viumbe wanyonge kama walivyo sasa..Wale wachache wanaojua nguvu iliyo ndani yao,will always look unique..Women have been given power to change anything,hata vile vigumu vilivyoshindikana,shida yenu mko bize kubetua nyonyo na kupiga profile picture za makalio..Mtalia sana..
Adam na akili zake zote,na kupendwa kote na Mungu na kupewa bustani ya Edeni,lakini eva alimshawishi na tunda akala akatucost mpaka leo tunakufa...
Samson alikuwa mtu mwenye nguvu sana,na siri ilikuwa nywele,wote hawakujua siri lakini Delila alim-seduce mpaka Samson akatoa siri,Wafilisti wakamtenda..
Mfalme Daudi alipendwa na Mungu,akawa mfalme,akamuua Goliath,lakini ujanja wote akaishia kupiga chabo mke wa mtu,akazini nae,akamuua na mmewe ili afaidi mke wa mtu..Ikamcost...
Power of a Woman...Kama wewe ni Mwanamke na unachojua ni kulalamika na kulialia tatizo sio la Mungu,NI LA KWAKO! Kila kitu kiko mikononi mwako,hata machozi yako Mungu anayasikiliza zaidi,what else do you need???Women,Please Wake up,the power has been vested in YOU!
By Seth
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Me i think elimu ndio inayowanyima nyie wanawake haki na ustawi wa kujiamini na kujijua nini mnachotaka maishani. Serikali na jamii kkwa ujumla tupambane na haya mambo kuepuka taifa lenye watu duni na wasiojiamini. Wanawake mnaweza.

    ReplyDelete
  2. Me i think elimu ndio inayowanyima nyie wanawake haki na ustawi wa kujiamini na kujijua nini mnachotaka maishani. Serikali na jamii kkwa ujumla tupambane na haya mambo kuepuka taifa lenye watu duni na wasiojiamini. Wanawake mnaweza.

    ReplyDelete

Top Post Ad