31 Mar 2013

Lady J Dee Awaponda Clouds Fm Kuhusu Kupiga nyimbo za Wasanii Wao Tuu


Lady Jay Dee
East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu. Angalia tweet za Queen of Bongofleva huyo.

"Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira"

"Anaedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn !!"

Jay Dee pia anaonekana kujizatiti na kujiamini kuonyesha kuwa yupo kwa lolote yeye kama Komandoo Binti Machozi aliandika tena "Kill me if u can. Am on Fire, siogopi ng'oooooo Jipangeni, Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhulu. Nakunywa maziwa daily, I will survive".

"Hee! Kuna wajinga wanadhani nili tweet nikiwa nimelewa, nilimaanisha na msimamo ni huo. Sitasema oooh kuna mtu ka hack ac yangu nooo its me"

" Kuna DJ flani alikuwa akipiga nyimbo nilizoshirikishwa akifika sehemu nilioimba mimi anakata verse yangu nimtaje?? Sa hivi anakat ya Prof J"

Hata hivyo si Jay Dee pekee kuanza kulaumu kwani wapo wanamuziki wengine wanaolaumu nyimbo zao kutokupigwa


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

9 comments:

 1. kasema ukweli

  ReplyDelete
 2. wachane wamezidi bhanaaa wanaua game tu ..

  ReplyDelete
 3. Kumma chafu, bwn. Ako ametoka huko hupati favour ten a,sikilizia hiyo pain in ua damn dirty asshole..

  ReplyDelete
 4. Unajua hao mafala wamezora kuiba kazi za wasanii sasa wakikuona una mcmamo ndio hayo yanatokea,we komaa nao watajirekebisha tu @Jide.

  ReplyDelete
 5. Clouds nao ni watu!!!!!mamburura tu hakuna kitu pale
  Stepping stone.

  ReplyDelete
 6. Wote pale hawana shule. Baadhi yao wamegundua wamekimbilia shule tho wamekumbuka shuka kumekucha. Wengine wamekaa pale miaka kumi na zaidi kazi kuuza k .....bt anyway watalamba matapishi yao

  ReplyDelete
 7. Clouds nao ni watu!!!!!mamburura tu hakuna kitu pale
  Stepping stone.

  ReplyDelete
 8. Clouds nao ni watu!!!!!mamburura tu hakuna kitu pale
  Stepping stone.

  ReplyDelete
 9. Damn them! Who do they think they are? Kama wang'aravyo na ndio jnci wanaweza kupoteza kwa sababu za kipuuzi. Mawazo finyu akili fupi #JotoHasira

  ReplyDelete

Total Pageviews


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger