Linah na Amini Sasa Kimahaba Zaidi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


ESTELINA Sanga ‘Linah’ na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Amini Mwinyimkuu wamenaswa katika pozi jipya la kimahaba zaidi.
Picha hiyo inayowaonesha wawili hao wakiwa ndani ya gari huku mwanadafada akimbusu Amini, imedakwa juzikati katika mtandao wa BBM, ambapo wadau wanaotumia mtandao huo waliwapongeza kwa kurudiana.

Amani lilimtafuta Linah, alipopatikana alijibu kwa kifupi kwamba hana tatizo na Amini hivyo yupo huru kwa lolote mbele yake na wanafanya naye kazi kwa karibu.
Kwa upande wake Amini,  alipoulizwa juu ya ishu hiyo alitiririka: “Linah ni mtu wangu hivyo sina ubaya naye kwa kila kitu hatujawahi kugombana wala kusutana picha zisiwashtue watu,” alisema Amini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad