List Ya Wasanii Wa Muziki [Afrika Mashariki] Wanaoongoza Kuwa Na Likes Nyingi Katika Mtandao Wa Facebook

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nonini ameonekana kuwa na Likes nyingi zaidi kuliko wasanii wote kutoka East Africa, kwani msanii huyo anaongoza kwa kuwa na Likes 91,650 katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

Wasanii kutoka nchini Tanzania ambao wanaongoza kuwa na likes nyingi zaidi ni Fid Q pamoja na Lady Jaydee, ambapo Fid Q ana jumla ya Likes 51,600 na Jide ana jumla ya Likes 42,700.

Taarifa hizi zimetolewa na mtandao wa Hipipo kutoka Uganda ambapo umetoa chati ya wasanii 50 kutoka East Africa ambao wana Likes nyingi zaidi kuliko wasanii wengine.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad