Lulu Michael Alikumbuka Penzi la Kanumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba kitimize mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu kwa mara ya kwanza leo ameandika ujumbe kuhusiana na jinsi anavyomkumbuka.

Lulu aliachiwa kwa dhamana mwezi January mwaka huu baada ya kukaa mahabusu kwa takriban miezi minane kufuatia kukamatwa kwa kuhusika na kifo cha Kanumba.
Lulu ambaye hivi karibuni amekuwa akitweet mara kwa mara ameandika:

Ulikuwa zaidi ya baba,kaka,mpenzi,mume,ndugu,rafiki….sitoacha kukulilia katika maisha yangu yote!!R.I.P daddy angu STEVEN KANUMBA.”

Akiambatanisha na picha ya Kanumba, Lulu ameongeza, “I will alwayz love u daddy angu!”

Unaweza kumfollow Elizabeth Michael ‏Twitter kwa jina la @hotlulumichael.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aende kwenye kabuli lake aweke shada la maua

    ReplyDelete
  2. Pole mamito, kaza moyo uendelee na maisha kwani hii ndio mitihani ya dunia.

    ReplyDelete
  3. Pole sana but u hav to move on coz yalishatokea na haiwezi kurudia tena

    ReplyDelete

Top Post Ad