Mavazi ya Dada Zetu Kwenye Nyumba za ibada yanatia Aibu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimehudhuria kanisani leo, nashangaa baadhi ya mabinti wanavaa nguo za aibu hadi uongozi wa kanisa ninako sali wamepitIsha azimio la kuwavika kanga wanawake watakaokuja na nguo zisizo na staha kanisani....,
maswali yangu ni kwamba mwanamke anapovaa nguo isiyo na staha kanisani huwa anamfurahisha nani? Pia huwa najiuliza hata kwenye bendi za muziki ukitazama wacheza shoo wa kiume na wa kike utashangaa tofauti ya uvaaji wao, maana utakuta wanaume wamevaa kiheshima sometimes suti kabisa lkn kwa dada zetu daaaaaaaaahhh wanavaa nguo za kubanaaa na vitovu vikiwa nje, halafu wanaharakati wa haki za kijinsia wapo kimyaaa. Big up kwa wanawake wote wanaovaa nguo za heshimu kwa maadili ya ki-tz.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Astakafir lah laadhim

    ReplyDelete
  2. Ndo ameenda kwa mungu wake ivo? Alaf anategemea nn ?

    ReplyDelete
  3. Dunia sasa imebadilika digital nayo imezidi kuwafanya watu wawe kama mbulula tumwombe mungu hatuondolee rahana.

    ReplyDelete
  4. Siyo picha ya kanisani hiyo yupo ukumbini kwenye sherehe huyo.

    ReplyDelete
  5. Izo zote kuni mtoni

    ReplyDelete
  6. Sherehe ndo uende uchi? Pumbavuuuuu..

    ReplyDelete

Top Post Ad