Mhh! Eti Hizi Ndizo Faida za Kujichua Mwenyewe-Is it True?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Admin naomba Upost Hii
"Bila Shaka Mko poa wana Udakuz....
Jamani lazima tukubali kuwa sekta ya ngono sasa haikamatiki kwa mabalaa
mfano kusalitiana,kufirisika ,kondom feki n.k pia ukiuvaa kuna ARV Feki,
Kutokana na mabalaa yanayoikumba sekta ya ngono Kwa kipindi hiki
nimeona kuna umuhimu wa kukumbushana faida za NYETO...Bila Shaka wazee
Wa CHAWAPUTA Wananipata vizuri.

FAIDA ZA PUNYETO
- inakuepusha dhidi ya presha za mapenzi!
- Inakufanya ukidhi haja zako!
- inaepusha kupata ukimwi na magonjwa ya zinaa 100%
- inaleta maendeleo indirect,kwani hutapoteza pesa!
- inakupa Uhuru ktk Kukidhi haja zako!
- kutokana na ubize, inakuepusha kuwaza mambo mabaya!
- inakuepusha dhidi ya Mimba zisizotarajiwa
- Indirect Inapumguza watoto wa mitaani na umaskini kwa ujumla!
- inakuepusha dhidi ya Mafumanizi na maumivu ya mapenzi!
- Inakupa raha!

Hizo ni moja ya faida nyingi za punyeto, Hivyo Ni wakati wako wewe kama
kijana kuchagua heri au balaa!" By Mdau wa Udakuz"

Je wewe unaona je kuna faida ama hasara??
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh naona ni poa

    ReplyDelete
  2. inakaa wee ni mshirika babu na je, madhara yake?

    ReplyDelete
  3. Ukizoea hiyo tabia ipo siku mbegu zitakuishia, au hata unaweza usiridhike na mkeo, au ukaja kupata likifafa bure lakujitakia.

    ReplyDelete
  4. 2patie na madhara ndipo 2chague!

    ReplyDelete
  5. waaa!! Kuwa na mwanamke mmoja wachana na hizo hazisaidii..

    ReplyDelete
  6. Hakuna hata raha..

    ReplyDelete

Top Post Ad