Mlemavu Amwangukia Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MPIGAPICHA wa kujitegemea  ambaye ni mlemavu wa miguu wa mjini hapa, Elias Ngole Ngoswe amemwangukia msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu kwa kumuomba msaada ili aweze kutibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na mwandishi wetu Jumanne iliyopita, Ngoswe ambaye ulemavu wake ulitokana na kugongwa na gari kwenye mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Korogwe, Februari 2, mwaka jana na akavunjika miguu na mfupa wa nyonga, alisema uamuzi wake wa kumuomba msaada Wema unatokana na kuvutiwa kwake na msaada aliompa  msanii mwenzake, Kajala Masanja ambaye alimuokoa kufungwa jela kwa kumtolea faini.
“Nimegundua kuwa Wema ana huruma sana nami nikaamua nimuombe msaada kupitia gazeti hili kwani nina matatizo mazito. Nilipovunjika miguu na nyonga nilikimbizwa Hospitali ya Wilaya Magunga, Korogwe baadaye nikahamishiwa Hospitali ya Tumbi Kibaha, nikalazwa miezi mitatu baadaye nilihamishiwa Muhimbili ambako bei niliyoandikiwa nilipe imenishinda,” alisema Ngoswe.
Kwa mujibu wa hati ya malipo ya Muhimbili ya Septemba 10 mwaka jana (nakala tunayo), Ngoswe alitakiwa alipe gharama za matibabu shilingi 9,798,250 ambazo hana.
“Ni fedha nyingi sana ambazo kutokana na ugumu wa maisha, nimeshindwa kulipia. Namuomba Wema na watu wengine wenye huruma wanisaidie ili nitibiwe,” alisema kwa masikitiko Ngoswe. Wema au yeyote aliyeguswa na habari hii awasiliane naye kwa namba 0766 224 284 na Mungu atawabari
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si wema tu ! Nadhani huyu bwana namfaham vizuri namshauri nivigum kupata pesa hizi kwa maramoja bali anaweza kupata kwa kumchangia kidogokidogo, namshauri pia ajaribu kuwaomba michango wanachuo hasa Sekomu navyuo shule wanazo mjujaa.pole sana kaka naamini utapona, nawamekusikia.

    ReplyDelete
  2. This site and I consider this web website is extremely instructive! Keep on setting up! 온라인카지노

    ReplyDelete
  3. Very interesting information!Perfect just what I was looking for!
    파워볼 하는법

    ReplyDelete
  4. What’s up, the whole thing is going nicely here and ofcourse every one is sharing information, that’s actually good, keep up writing.
    토토사이트

    ReplyDelete
  5. This is a very impressive subject. Thank you for always. I have been reading your article interestingly 토토

    ReplyDelete
  6. I don’t even know how I ended up here, but I thought this post was good. 바카라사이트인포

    ReplyDelete
  7. Here we provide you with the information and resources you need to write better articles. Come here and write more advanced text. 카지노

    ReplyDelete
  8. Your ideas inspired me very much. roulette It's amazing. I want to learn your writing skills. In fact, I also have a website. If you are okay, please visit once and leave your opinion. Thank you.


    ReplyDelete
  9. I appreciate everything you have added to my knowledge base.Admiring the time and effort you put into your blog and detailed information you offer.Thanks. 바카라사이트

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  11. This post is very good. I really like this blog. This gives me more useful information. I hope you will share a lot with us.smtp relay services

    ReplyDelete

Top Post Ad