Mpenzi wangu Anataka Niwe na Girlfriend wawili yeye na Mwenzake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nashindwa kuelewa ana maana gani..Huyo mpenzi wangu amekuwa na rafiki yake wanapendana sana kila mahali wako wote na siku zingine huwa nikitoka na mpenzi wangu out analazimisha na rafiki yake awepo...Sasa siku za hivi karibuni amekuwa akiniambia kuwa its ok kuwa naye na huyo rafiki yake...week iliyopita alikuja nyumbani kututembelea usiku ulipofika akaamua kulala japo tuna chumba kimoja tu, mie kwa aibu nikalala sebuleni japo mpenzi wangu alikuwa ananishawishi tulale naye kitanda kimoja..na its ok tukifanya theresome ila mimi nilikataa...Naomba ushauri wana udakuz hii ni Halali ? Je niendelee kuwa na wote ama nisimamie msimamo wangu wa kuwa na mmoja?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Piga kaka ili mradi wamekubaliana wao,ww kazi yako kutoa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Dah unauliza makofi pplisi, mm ningekula tena bila hata kunawa, ukipata bahati ya kubadili mboga kirahisi hivyo utanenepa. So long una nguvu za kutosha kuwaridhisha wote bs kula mjomba kabla hawajanjaruka.

    ReplyDelete
  3. Kaka ucjali we piga wote ukiona ivyo ujue wamekubaliana tena iyo unakula bila kunawa kaka una bahati nasibu kaka unauliza embe wakati ndio zinapotoka msimu wa mikoa mingine ikiisha...................hapo kazi yako ni kuongeza kilo ya unga ucje ukapiga bila kula tutakusahau ok!!!

    ReplyDelete
  4. Sambua wote wa wili kaka.ni baati hiyo.

    ReplyDelete
  5. Kabla hujafanya hayo muende wote mkapime

    ReplyDelete
  6. kama ni mimi basi wote ningewafiria mbali si wanataka wenyewe.

    ReplyDelete
  7. kama ni mimi basi wote ningewafiria mbali si wanataka wenyewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad