google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Natafuta Mume wa Mtu | UDAKU SPECIAL

Natafuta Mume wa Mtu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimechoka kuhangaika na masharobaro kwani ni kero tu

1. Hawajui kujali
2. Hawajui mapenzi
3. wanapenda kutunzwa


Nataka mume wa mtu mwenye uwezo wake na pia anaependa familia yake na kuijali sitaki jitu lakuja kuniletea malaana mimi.

Kama uko serious wacha number yako hapo chini nitakutafuta mwenyewe tuanze mchakato.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Karibu sana....+254725357625

    ReplyDelete
  2. Siyo wewe mwingine anitafute. 0655-189912.

    ReplyDelete
  3. achen kuwa mabwege nyie yaan una imani kwamba atakutafta! Utabak hvohvo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pepo chafu,huyo mwanamke hana akili wewe umekuja duniani kutegemea wanaume?mjinga wewe.na nyinyi wame za watu muliotoa namba zenu ni washenzi.kama hamuridhiki na wake zenu muliwaoa kwanini?pepo chafu

      Delete
  4. Kweli mijitu mingine ni mibwege inapenda kunyonga tu kuchinja wataweza wapi

    ReplyDelete
  5. Wapo kama wawili hivi ambao ni waume za watu na ni HIV positive kama kweli uko serious nitafute nikuunganishe nao watakufaa sana achana na hao masharobaro

    ReplyDelete
  6. danielyona979@yahoo.com19 March 2013 at 09:22

    mlee mtoto katika njia impasayo nae hata iacha hata atakapokuwa mzee. Kinacho endelea hapo kati ya waliotoa namba na hako kamwanamke ni matunda ya malezi mabovu kwa watoto katika jamii.

    ReplyDelete
  7. Tafuta wako maaba mume wa mtu sumu

    ReplyDelete
  8. eti unatafta mume wa mtu hovyoooo,kwanini usitafute wa kwako,unataka aje atelekeze familia yake?

    ReplyDelete
  9. jamani acheni mambo ya ajabu mtu hakujui humjui kweli anakutakia mema huyo kueni makini pengine katumwa huyo sio bure

    ReplyDelete
  10. jamani acheni mambo ya ajabu mtu hakujui humjui kweli anakutakia mema huyo kueni makini pengine katumwa huyo sio bure

    ReplyDelete
  11. Acheni mambo ya kisenge amesha sema alikuwa na masharobaro mnajua alikua nao masharobaro wangapi mijitu mingine bhana kama aijasoma iviivi kiraic acheni uboya midume..............wote njaa

    ReplyDelete
  12. i am really seriuos my no is 0774759963 i am 51 years old need to enjoy call me

    ReplyDelete
  13. Kwanini asiache yake aone angepigiwa mpaka usiku

    ReplyDelete

Top Post Ad