Ndoa bila Tendo......Msaada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.

Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.

Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asali', tangawizi, karanga mbichi vyote achanganye kwa pamoja kwenye kikombe cha chai cha wastani sio kikubwa sana na anywe mara mbili yani asubuhi kabla hajala kitu na usiku kabla ya saa 1 kuingia katika majaribio ya tendo la ndoa...!!! Best wishes

    ReplyDelete
  2. Kuna dawa ya unga..inaitwa horny goat weed..ukipata organic..unaweza kujaribu..haina madhara yoyote hata ukinywa kwa kawaida..unachemsha maji unatia kijiko kimoja asubuhi kabla ya kula na usiku masaa mawili baada ya kula..matokeo huwezi kuona baada ya siku mbili yawezachukua hata wiki 2 ..unaweza kugoogle ukaorder online ffrom starwest botanicals website..kila la kheri

    ReplyDelete
  3. Ikishindikana hizo dawa alizoshauriwa atumie basi akaechini amuombe Mungu atulie na mmewe hivyo hivyo pengne Mungu anakusudi lake juu ya ndoa yao

    ReplyDelete

Top Post Ad