Picha Chafu za Demu wa Mbunge zasambaa Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIKU chache baada ya gazeti la Risasi Jumamosi kutoka na habari iliyoambana na picha zilizopigwa katika chumba cha hoteli zikimwonesha mbunge wa jimbo moja nchini  akijivinjari na dada mmoja wa mjini, aibu zaidi imemwangukia binti huyo baada ya picha zake za utupu kuvuja.
   
Mjasiriamali huyo wa mjini, katika habari hiyo jina lake lilifichwa lakini sasa tunalianika kwa jina moja la Sheila ambaye makazi yake ni Kinondoni jijini Dar.



Habari za moto zilizopatikana kutoka kwa vyanzo makini, vimepenyeza maelezo ya kutosha kuhusu ‘mjasiriamali’ huyo kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa vigogo.
 “Sheila ni mjanja sana, ana mawasiliano ya vigogo wengi ndiyo maana anawapata kirahisi lakini sasa sijui hii akili ya kijinga ya kupiga picha chafu anaipata wapi. Kwa mtu anayefikiri sawasawa hawezi kufanya upuuzi kama huu,” kilieleza chanzo chetu kwa sharti la kutoandikwa jina lake
 
Folda lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi) zipo kwenye dawati la  Ijumaa kama ushahidi.....

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad