Picha za Mbunge Aliye Naswa Akifanya Tendo la Ndoa na Wanawake Wawili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.


Kwakweli bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo gani naye...

Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo yeye alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).


Credits:Mpekuzi


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiii story kitambo sana try kufafanua habari Ni wakati gani ilitokea

    ReplyDelete
  2. dah hii noma mzee wangu

    ReplyDelete
  3. sasa maadili gani umezingatia na huku kila kitu kiko wazi huna lolote na wewe ni walewle tu wasio na maadili

    ReplyDelete

Top Post Ad