Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Hapo ndio tujue kuwa wenzetu hawabahatishi na hawana siasa kwenye kazi zao proffessional....kazi kweli kweli!!wamehadithiwa tu wamemchora mtu yule yule!!Angalia Mchoro wa Polisi Hapo chini na Ufananishe na mtu Huyu..


Mchoro Uliyotumika Kumpata Muuaji
Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna lolote kwa hapo wamechemsha

    ReplyDelete
  2. Mwenyewe huyo kafiri,huoni masikio popo hayo

    ReplyDelete
  3. Utajua tu comments za watu ambao waliogopa umande, hawakubaliani na lolote zuri au baya, wamelishwa sumu ya ujinga mpaka kufa.

    ReplyDelete
  4. Izo pumba we uhadithwe 2 ndo umpate m2 co kweli wa2 wamefanana kila namna kuna waliofanana sura, mwendo,maumbile ok kama kweli cawa lkn km uwongo mungu atawalipa kutokana na kumshingizia m2

    ReplyDelete
  5. kwa hiyo kofia aliyo vaa kwenye mchoro mnamaanisha nini?

    ReplyDelete
  6. Kheri Mungu akupe umasikini wa pesa ila siyo akili kung'ang'ania au kukataa jambo usililo lijua. Cheki mijitu inavyo Leta siasa hadi kwenye duals wasilo jua undani wake we si police wala mpelelezi kwanini useme ni uongo na wamemzingizia. Hujui KAA KIMYA. SHIIIIIIII!!!!

    ReplyDelete
  7. Kweli Kaka umeongea point usichokijua nyamaza kimya kuliko ujifanye unajua na badae uje ujulikane ukweli utaonekana kama lijinga flan

    ReplyDelete

Top Post Ad