Mimi ni Kijana wa Miaka 27 , Nimemaliza chuo Mwaka Jana ...Now nafanya kazi katika shirika moja kubwa hapa Dar es salaam , Wakati nilipokuwa  chuo mimi na wenzangu tulikuwa na mchezo wa kwenda pale Corner Bar Kuchukua wasichana wanao Jiuza wa bei ndogo na kujiridhisha...Mchezo huu umeendelea mpaka nimemaliza chuo na nina kazi yangu ..Huwa nasikia raha sana kulala na hao watu...Nina Girlfriend wangu ila huwa nikilala nae sisikii  raha kama nikiwa na changudoa....Sasa jioni mara nyingi huwa natoka na kwenda mitaa ya Sinza kutafuta wa kuwa nae kwani kupitisha siku bila hiyo kitu siwezi...Nataka niiache hii Tabia Naomba Ushauri nifanyaje....Admin Plse Post hii Ili watu wanipe Ushauri....

 
Top