Sintah"Hebu Nimbieni Nyinyi Mnataka Nini? Maana Siwasomi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Sintah kuwa anashambuliwa na watu kucomment kumponda katika Website yake kila anapo post kitu...Leo Ameamua kuandika maneno haya akiwauliza wanao ponda kila akiweka picha ama stori kwenye Blog yake:


"Daaah binadamu,hawajielewi nikisema nisiweke picha za watu fulani  mnasema nina roho mbaya nikiweka najigongaa sasa nifanyeje?
hebu nimbieni daaah binaadamu ni viumbe wazito hawabebeki!

Hebu nimbieni nyinyi mnataka nini? maana siwasomi " Sintah.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo la sintah anapost vitu kwenye blog yake Kishambenga. Yaani Uwezi jua ni msomi kwa kifupi ni mswahili Pasee! Ajaribu kubadilika aone kama hayo yote yatamkuta.

    ReplyDelete
  2. Nilikua mpenz sana wa blog yake nilivogundua ipo kiswahili, kimbeya,na hakuna vtu vya msingi nikaachana nayo msomi mzma hasomeki

    ReplyDelete
  3. Tatizo hajielewi kuwa kaishachoka yani kwa ufupi kaishakata ring,muda wake umeshapita akae kwake atulie kama bi kidude.hana jipya

    ReplyDelete
  4. Achana nao binadamu watakupa stress.

    ReplyDelete
  5. Wapo km yy walotamba enzi zake leo kimyaaaa namambo yao.... Na wanaheshimika ss yy anajifanya mtoto kung'ang'ania chati nawatoto wa digital wakati yy analog?? Why asitujanwe? Enzi zake alikua mchafu walikua wanaona ss leo anawezaje kuwakosoa?? Mwache apewe anachokitafuta kwa watoto.

    ReplyDelete

Top Post Ad