Skendo Chafu zamkoseshanisha Rayuu na Familia yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya kuandamwa na skendo chafu, msanii wa filamu na tamthilia Rayuu, ameamua kuweka wazi kuwa kitendo hicho kimemfanya atofautiane na familia yake hasa wazazi, huku wakimtaka kuchukua hatua za haraka ili aweze kuachana na tabia hizo ambazo zinaweza kuichafulia jina familia.

Msanii huyo amekuwa akionekana kwenye picha kadhaa chafu ambazo zimekuwa zikimchafulia jina, akiongea na mwandishi wa DarTalk alisema kuwa zimemfanya hadi kutoelewana na familia yake kwani wanahisi ni muhuni kitu ambacho si kweli.

“Familia yangu imechukia sana kutokana na picha zangu ambazo sijui watu wanazipata wapi, naonekana muhuni mbele ya wazazi wangu wakati siko hivyo, kuna watu wana nia ya kunifanya niwe mbaya mbele ya wazazi wangu na watu wanaonizunguka nashindwa kuelewa wananitafutia nini,” alisema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad