Taratibu, Tanzania Inaelekea Kuwa Nchi ya Kimafya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Matukio yanayoendelea kutokea katika nchi yetu yanaonyesha pasipo shaka kuwa, iwapo Serikali haitachukua hatua za haraka na za makusudi, Tanzania itakuwa moja ya nchi zinazojulikana kwa vitendo vya kimafya.  Mbali na matukio ya vurugu za kidini katika baadhi ya sehemu za nchi ambayo tayari yamedhibitiwa, sasa yamejitokeza matukio kadhaa tunayoweza kuyaita ya kimafya.

   Matukio kama hayo hutokea katika nchi zisizo na serikali au zenye serikali legelege. Katika nchi hizo, hujitokeza makundi ya kihalifu yenye kufuata sheria za msituni na kujipa mamlaka ya kuunda mfumo wake wa kihalifu kama biashara ya madawa ya kulevya, wakati mwingine kwa ushirikiano na vyombo vya dola. Ushirikiano huo huyawezesha makundi hayo kupata silaha, fedha na taarifa muhimu kuhusu kinachojiri ndani ya serikali husika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad