Waganga Wajitokeza Kupambana na Jini Mahaba Linalo Mtesa Lady Jdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

WAGANGA wanaodai kuwa ni wataalam na wana uzoefu wa kupambana na jini mahaba linalomsumbua Mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jaydee’, wamejitokeza huku kila mmoja akiomba apewe nafasi ya kumtibu bure.


Mmoja wa wataalam hao aliyejitambulisha kwa jina la Jumaa wa Magomeni, Dar alisema: “Nimesoma habari kuhusu Jide, mimi naweza kumtibu tena bure, mpe namba yangu na mwambie anipigie.”

Mwingine ambaye hakupenda jina lake liandikwe alisema: “Nimesikitika sana kusoma hii habari ya huyu msanii Lady Jaydee, kwa kifupi naweza kumtibia free of charge.”

Kufuatia maombi ya wataalam hao, mwandishi wetu alijitahidi kumtafuta Jide bila mafanikio lakini juzikati kupitia kipindi chake cha Diary ya Lady Jaydee alionekana akipewa matibabu na ustaadhi mmoja, mazingira yanayoashiria kuwa huenda mambo yametulia.

CREDIT : GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna linaloshindikana chin ya jua amin utapona tu

    ReplyDelete
  2. i wonder toka lini jini kamfukuza jini mwezake what the wagangas can do wanampandikiza mkubwa wa yule alienae ili amtulize huyo jini alienae Jide asimsumbue hapo ataishia kuchanjwa chale kam si kuvalishwa hirizi kama ndio dawa jide your a good sabath go to church get healed my dear iam an old fan of yours

    ReplyDelete

Top Post Ad