Wema Sepetu Aamua Kunyoa Nywele zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. Ingia ndani kusoma maoni aliyoyapata baada ya kunyoa.



] citystarboutique Looking so young and freshhhhhh, lovely look 12min

[ @ ] stevejns Daaaah …u loooks nycc jaman..y ukufanyaga hyo toka kitambo? 11min

[ @ ] naibabishi Cjazoea kukuona hvo @wemasepetu 10min

[ @ ] jo_mphela Now u luk u as u @wemasepetu 8min

[ @ ] hassandesuzzo Pendeza xna endelea kukaa hvyo hvyo. 4min

[ @ ] mangekimambi Whaaaaat??? Hahaha you look cute my baby sis . #teamnatural all da way @ssepetu @doreennjunwa 4min

[ @ ] britkyle Beautiful as always! 2min
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizi pic nilijuwa zitafika kwenye my website Sifa nyengine

    ReplyDelete
  2. bos wafanyakazi tunasuka wewanyoa

    ReplyDelete
  3. Kingineee uachane nachoo mydia mkorogo sio issues best. Be the Wema tulikupigia votes kipindi kile.

    ReplyDelete
  4. kwani mtu akitumia mkorogo nyie inawakera nn? acheni uhuru wa mtu autumie atakavyo, m naona anapendeza saaaaana, endelea mama hiyo top lonona inakutoa.

    ReplyDelete

Top Post Ad