Aunt Ezekiel Awa Gunzo Tena Magazetini kwa Kuvaa Kinguo Kifupi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli sikio la kufa halisikii dawa! Licha kuolewa na Sunday Demonte, msanii wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ametia aibu kwa mara nyingine tena baada ya kunaswa nusu utupu ukumbini usiku wa manane, Risasi Jumamosi linafunguka.


Baada ya midume kumuona akiwa amevaa kihasara huku akijificha nyuma ya jukwaa baadhi yao walimfuata na kuanza kumzingira kisha kumwagizia ulabu kama mvua kila mmoja akitamani kuondoka naye kwenda kumfaidi kimapenzi.
Baadhi ya madalali wa magari wa eneo la Masika mjini hapa walimvamia Aunt na kuanza kumgombea wakiongozwa na mmoja wao aliyeonekana kuwa jirani zaidi na msanii huyo.

Mwanahabari wetu alipomfuata Aunt na kumuuliza kulikoni akatoka Dar kuwafuata Ngwasuma Mji Kasoro Bahari huku akiwa kihasara kiasi hicho, mke huyo wa mtu alifunguka: “Nipo hapa Moro zaidi ya siku sita na nitaendela kuwepo kwa zaidi ya siku kumi, nipo na kundi langu tunarekodi filamu kwenye Hoteli ya Nashera.”

Alipobanwa kuhusiana na kinguo alichovaa huku mapaja na maungo mengine nyeti yakionekana, alicheka na kukatisha mahojiano: “Siwezi kuzungumza chochote kama vipi chukua namba yangu unipigie kesho.”
Kesho yake alipopigiwa, simu yake iliita bila kupokelewa.
Siyo mara ya kwanza, Aunt amekuwa akifanya matukio yasiyoendana na hadhi ya mke wa mtu akijiachia kihasara ikiaminika kuwa anafanya hivyo kwa kuwa hakai na mumewe ambaye yupo huko Dubai.

Source:Global Publisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BUMBU LIMEBOA ILA PUNGUZA MASHAUZI UNAIPELEKA WAPI TASNIA YA FILAMU

    ReplyDelete
  2. SOMETIMES WE HAVE TO MIND OUR OWN BUSSINESS COZ WHAT IS BEING DONE BY AN ADULT HE/SHE ITS NOT THAT THE MIND WENT OFF BUT ITS THE MATTER OF TOWARDS UNDERSTANDING DATS ALL

    ReplyDelete
  3. si yuko sehem ya starehe jmn kwan anaabudu hapo nanyi anzeni kukaumu madesigner

    ReplyDelete
  4. Afanye nini mtoto wa kike UBOO uko Dubai? Chezea nyege wewe

    ReplyDelete
  5. Kabla ajamuoa alilijua hilo!!! Jamaa alikubali yote hayo ndio maana Demu yuko Free, Shetani uoa shetani mwenzie .

    ReplyDelete
  6. Ulitaka avae vazi la ninja nn,mwache avue chezea joto la Moro ww

    ReplyDelete
  7. **Nyie bloggers na media za udaku ndio mnawafanya hao makahaba akina Aunt na wenzie waendelee kukaa uchi kwakujitafutia umaarufu coz wanajua mtawaandika tu. Ingekuwa vema msingewaandika muone km kuna kahaba ataonyesha vipaja vyake vichafu hivyo**

    ReplyDelete
  8. Mwacheni dogo labda hamfikishi anatafuta wa kumlainisha kiuno, huyo biashara matangazo. hata kuolewa si jamaa alimuona hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  9. huyu dada ni kuma kaolewa afu bado anavaa kisenge aaah.. anaboa bnaa.

    ReplyDelete
  10. we lov u bt unaboa na mavaz yako ya uch

    ReplyDelete

Top Post Ad