AY Kuachia "JIPE SHAVU" Jumatano Hii ... Check Alieshirikishwa ...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

!!! YEEESAYAAH !!!
Mwanamuziki kutoka Tanzania, Ambwene Yessayah a.k.a AY au pia unawweza kumuita "Zee La Commercial" anataraji kuachia ngoma yake nyingine hivi karibuni ...
AY ambae bado machoni mwako anafanya vizuri na video SPEAK WITH YA BODY, PARTY ZONE na MONEY zinazopigwa katika televisheni kubwa duniani kama Channel O na TRACE TV ya Ufaransa soon anaachia JIWE hilo litakalofahamika kama JIPE SHAVU ...
JIPE SHAVU is the next single from AY akiwa amemshirikisha mshkaji wake wa karibu akijulikana Fid Q [that Illest Hip-Hop dude from MWANZA City] ...
Hapa "Zee La Commercial" na hapa pembeni ni "Zee La Hardcore" ... JIPE SHAVU ...
Dundo hilo according to AY, limefanywa na Producer Q ikiwa ni katika studio za MPO AFRICA zilizopo maeneo ya mikocheni ...
AY anasema ngoma hiyo itaachiwa rasmi jumatano hii katika sehemu tofauti ... As to fans wakae tayari kupokea kazi nyingine bora kabisa kutoka kwake ...
AY na rapper Fid Q waliwahi kufanya ngoma mbali mbali nzuri za pamoja ikiwemo USIJARIBU yenye video yake pia ...
Let's wait for JIPE SHAVU afu tuone ...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hunaga skendo zakikuz kama hawa wengine..unajitaid kutoa track na mastaa wengine nje kufanya mziki wako kuwa wakiinternation..like your struggle..we ndo msanii hapa bongo..salute sana jembe

    ReplyDelete

Top Post Ad