Baada ya Kuponda Clouds FM Lady Jay Dee Amgeukia Ben Pol na Linah_Hii Kali Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Lady Jaydee anadai wasanii wa THT wamemsaliti kwa kile anachodai walikatazwa kwenda kuperform Nyumbani Lounge licha ya kuwalipa advance.
“Linah na Ben Pol mnabisha hamkukatazwa? Nisalitini ila hamtapata faida mtatoka kapa pia,” ametweet Jide.
Shutuma hizo zimepolekewa kwa hasira na Ben Pol aliyemjibu Jaydee:
“Hiyo show kulikuwa na wengine pia wakuperform je wali perform? kama nililipwa nanikashindwa ku show up, mbona sidaiwi?? Tafakari.”
Aliongeza, “Ben Pol hana muda wa maneno na majungu. Ombi langu ni mmoja kwako. Put me out of your business. PERIOD.”
“Don’t talk about things you don’t know about. DON’T.”
“Ukiwaza kutumia akili kamwe huwezi kukosea, ila utakapotumia hisia lazima ujikanyage somewhere. Nimekua vya kutosha #Trustme,” alimalizia Ben.
Unazungumziaje hiki kinachooendelea sasa na athari yake kwenye muziki wa Tanzania. Maoni yako tafadhari.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao THT kama wamefanya hivyo basi wana mambo ya kipumbavu, labda kama wana sababu ya msingi sana vinginevyo ni.................................

    ReplyDelete
  2. kati ya side hizi mbili nadhan jide hawez walalamikia hawa wengine.... watajuta jide yuko mbali!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad