google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Baada ya Lady Jaydee Kuipa Madongo Clouds Fm-Sasa Amemua Kufungua Kituo cha Redio | UDAKU SPECIAL

Baada ya Lady Jaydee Kuipa Madongo Clouds Fm-Sasa Amemua Kufungua Kituo cha Redio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye tumepata jibu la kwanini Judith Mbibo aka Lady Jaydee amekuwa akitweet vitu vizito weekend iliyopita. Kama hukufaniwa kuziona tweets hizo ni kwamba mwanadada huyo alishusha mfululizo wa mabomu kuelekea kwa kituo kimoja cha radio na kujikuta akiongeza aka mpya, Anaconda.

Na sasa imebainikiwa kuwa mwanamuziki huyo mkongwe na mjasiriamali anakuja na kituo chake cha radio kiitwacho Kwanza FM. Habari hiyo aliibreak mwenyewe jana na bila shaka haihusiani na April’s Fools Day.

    Kwanza FM coming soon. Yangu mwenyewee

    — Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013

Inaonesha kuwa mchakato wa kuanzisha radio hiyo unaenda vizuri kiasi cha kuweka wazi na kuwa hiyo ndio sababu alichukua uamuzi huo wa kuandika mambo ambayo yangeweza kuiharibu career yake ya muziki.

    Huwezi kuanza mapambano km hujajizatiti, si utapigwa ufe.? Vita ni pale tu unapokuwa tayari. Sikuwa tayari huko nyuma ndio maana sikuongea

    — Lady JayDee (@JideJaydee) April 1, 2013

Kila lakheri Lady Jaydee. Kwa usimamizi wa mumewe Gadner G Habash ambaye ana uzoefu mkubwa kwenye masuala ya radio, kituo hicho huenda kikafanya vizuri.
Source:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah hata mm sikuelewa ilikuaje anaconda aanzishe vita ya mawe na anaishi nyumba ya viooo! Ilikuwa sawa na kukata tawi la mti huku umelikalia.

    ReplyDelete
  2. kashachelewa huyo hata wimbo wke mpya ni bg g, anatafuta attention na haipat ng'o coz radio inayotoa attention ndo kaiponda na soon 2tamsahau

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sure anony awaulize walopotezwa awe makini tutamsahau..aliona raha mumewe alivyokua ktk kipindi cha jahaz nyimbo zake zilipigwa sn!mara aitwe shemejiiiii.. Kamic hivyo anaanza kilele??atapotea kwenye game ohoooo...

      Delete
  3. Clouds mm binafsi cwapend cz n wachochezi sana

    ReplyDelete
  4. mtazamo wa mdau wa pili hapo ndo huwa wawafanya wasanii wetu wanakuwa watumwa
    wa hyo radio station hwez sema wenyewe ndo kila ktu sisi wasikilizaji nahisi ndo kila ktu jaman. na mm kiukwel huwa wananiboa wakigandana na msanii hata nyimbo iwe mbaya itachezwa weee mpk unajikuta umeizoea masikion. Jide big up

    ReplyDelete
  5. KILA MTU ANAMAAMUZI YA KUFANYA MAMBO YAKE, SO USIWALAZIMISHE CLOUDS WAKAPIGA NYIMBO ZAKO AU ZA WATU WENGINE. NA KAMA UNATAKA KUANZIA HICHO KITUO JUST DO IT, NADHANI HIYO INAWEZA GUD LEAD KWA KUWA UMEONA MAPUNGUFU YA RADIO ZINGINE KULIKO KUJIONGELESHA MI NAONA HAIJAKAA POA. HIVI ELIMU HAZIWASAIDII, COZ BIFU HAINA MSINGI WOWOTE ESPECIALLY KWA LEVEL ULIYONAYO JIDE UMETOKA MBALI SANA CLOUDS NI AKINA NANI MPAKA UWE NA BIFU NAO JAMANI. JUST BE YOURSELF KAMA HAWAPIGI NYIMBO ZAKO, NINI KINACHOKUWASHA MBONA MUMEO ALIKUWA ANAPIGA NYIMBO ZAKO YANI IKIFIKA SAA KUMI KUTWA JIDE JIDE JIDE NA WEWE MBONA HUKUWAHI KUCOPLAIN KUHUSU HILO BE REASON OK. MAENDELEO YA BIFU SIO MAZURI DADA. MI NAHIS HIZO NI KELELE ZA SISIMIZI NDANI YA MSITU KAMA AMAZONI HIVI, NAHISI UNAJUA KUWA CLOUDS WAKO JUU, AU UNAONAJE MUMEO ARUDI HUKO TENA MAANA, KUPOTEZA UMAARUFU ULIOUPATA WAKATI WA MUMEO YUPO CLOUDS INAKUSUMBUA ETI!!!!!!!!!! TRY ANOTHER WAY TUMEKUSTUKIA.

    ReplyDelete
  6. kwanza najaribu kufirikia, kama clouds wanafanya hivyo we utafanya nini!!! au ndio ile kuku kanya bata kaharisha!!!!!!!!!!!! jisongeshe kwanza, haya tusubiri we mwenzetu unayeweza kunya wenzio wanaharisha!!!!!!!!!! kumbuka nyani haoni kundule!!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad