Barua ya Zitto Kabwe Inayotaka Lwakatare Ajiuzulu yaleta Tafrani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zitto kabwe ameandika barua kwa katibu mkuu dr slaa akitaka mambo mawili yafanyike ..

1.Lwakatare achunguzwe na chama  2.Lwakatare ajiuzulu nyadhifa zote alizokuwa nazo ndani ya chama  3. Ushauri huu usipofanyiwa kazi atafanya maamuzi magumu yatayokigharimu chama zaidi.

Taarifa zaidi kutoka ndani ya vyanzo zinaeleza kuwa kitilla mkumbo naye ameandika barua kama ya zitto lakini yeye anataka lwakatare atoswe kwa sababu ameshachafuka ili kukinusuru chama...

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa ushauri huu umesababisha mtafaruku na mgawanyiko mkubwa ndani ya uongozi wa taifa kwani baadhi wanapinga ushauri na wengine wanaunga mkono. Wanaopinga wanadai kuwa lwakatare alikuwa kazini hivyo lazima chama kimlinde hadi dakika ya mwisho..

Hata hivyo,Leo Zitto Kabwe amezijibu tuhuma za barua hii akiadai kushangazwa jinsi barua hii ilivyovuja na kuishia kusema kuwa kuna kirusi ndani ya chama chao
Source:Jamii Forums
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Backlinks numerous fruits tend to be light-weight adequate a whole specific food processor or blender
    with a bit of drinking to have a reasonable refreshment,
    for canteloup, a lot of vegetables and fruit must only feel
    juiced held in a juicer. You will find a free of charge recipe ingredients textbook in order to challenge any beverages preparing
    campaign with regard to fresh ht. Another juicers intended for veggies and fruits wear various
    methods along with solutions. Waring is the most ideal
    perceived designation throughout appliances as a explanation why.
    Bandleader and after that creator Wendy Waring first
    brought about your very first mixer found
    in 1936.These items wanted anything in making consumers freezing
    vegetables daiquiris!

    my web page - juicers for sale in canada

    ReplyDelete

Top Post Ad