Chid Benzi na Producer Lucci Wahamishia Ugomvi wao Twitter For Every Body to See

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rapper Chidi Benz na producer Lucci wameingia kwenye mgogoro baada ya kutofautiana katika makubaliano ya wimbo walioufanya pamoja. Chidi anamlaumu Lucci kwa kubadilisha msimamo wake ambapo alidai kumfanyia wimbo huo bure.

Chidi Benz na Lucci wametumia Twitter kulizungumzia suala hilo kama ifuatavyo:

Chidi Benz: Unachofanya c sawa.usipindishe maneno na usifoc makubaliano.siku tunarekod hukusema khs mkwanja,ulisema tufanyeni kazi.u mi n kk

Lucci: Ofisi na simu zipo, KWELI kuna haja ya kuhusisha watu zaidi ya 7,000? Kwani walikwepo tukifanya kazi? B professional and call me

Chidi Benz: Unahisi hio ni point koz unajaribu kutafuta points.tym tunarekod ulitweet na ukifurahia.mnakimbiliaga huku mwisho.mimi m real. Professional ni wewe kuchange deal,hatuna lazima ya hio kazi but haukua mpango uliopangwa,tumetumia energy.Tamaa imekubadilisha.

Lucci: Kwani mimi sijatumia energy?!? Mara ngapi nimekuambia uje ofisini tuandikishane makubaliano? Hata vya BURE hua na maandishi.

Chidi Benz: Hakukuwa na bure,hatukutaka koz hatukuingia na force kwenu wala hatukuvunja mlango.thou ulituelekeza studio ilipo.Nakuona…

Lucci: Ulitumiwa email ya mkataba na ofisi yangu @TransforMaX_R HUKUJIBU wala hukusema terms unazotaka. JE, nifanye lipi la ZIADA?

Chidi Benz: Unafanya kazi ndio unapewa mkataba au unapewa mkataba kisha unafanya kazi? KK ananambia khs mkataba na mi sina mail. Studio ipo kwenu ndani chumbani I thnk pale,unahisi mtu anaweza toka Ilala na hajui terms zako?hajui anakuja kufanya nini?

Lucci: Cha msingi ni mkataba, na hicho ndiyo kilio changu. Chumbani, Jikoni, kote kazini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. eeee huyo chid afanye ki2 ya maana..aache kuimba awez toka..kwa story hii inaonyexha hana hata ela ya kurekod,.

    ReplyDelete
  2. chidy brav naona UNABUMA sasa loh!!, Mbona inshu ndg sana hii au ndo ATTENTION?

    ReplyDelete
  3. chid mambo gan tena hayo kwan guna hela ya kulekod?

    ReplyDelete
  4. kila k2 pesa dunia ya ssa chd.

    ReplyDelete
  5. afanye ki2 kingine..kwenye game 2xhamsahau

    ReplyDelete
  6. Chidy acha Ushamba Bana Unapoenda Dukani Unaonyeshwa Nguo ya Kujaribu hata kama ukuipenda Na unaombwa uijaribu kama itakuoendeza Na ikikupendeza sio maana Utapewa Bure inatakiwa ununue So hata kama alikwambia Utaku rekodia Bure hivi kwa akili yako Chidy Hapa mjini kuna Kitu Cha Bure???acha ubahili wangu kama umechoka Sema usaidiwe Jiongeze Babu ndio mambo ya Mujini ayo Laki 5 au Milioni sio hatali...

    ReplyDelete
  7. Yaani siamini Chid umeishiwa hivyo mpaka unadai kwa nguvu vya bure kaka jipange upya au badili fani mziki umekushinda bro,Platinumz ataendelea kuwakimbiza sana tu

    ReplyDelete
  8. Nasikia harufu ya ngumi pamoja na damu acha nipite tu

    ReplyDelete
  9. Stress za kufulia,! Chidi kaparamie nguzo za transfoma ubungo kama una hasira,hovyooo

    ReplyDelete
  10. achen ubwege wenzenu wanatweet maendeleo nyinyi mnatweet mabifu fanyeni kazi upumbavu wenu wa kijinga msituletee watu wanalisha familia zao kwa muziki kama nyie mnaleta upimbi kwenye fani waachien wenzenu watafute mikwanja nyie tafuten ulingo wa uswahilin mdundane na mtukanane cos hata mkipewa fani ya ubondia kwenye staji bado mtatuboa mashabiki wajinga kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad