Chidi Benz azungumza kilio chake, ‘natoa ngoma hazigongwi,no shows’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo hit-maker huyo wa Dar Standup amewasilisha kilio chake kupitia Twitter kama ifuatavyo:

Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.

Redio zina wasanii wanaowashikilia,Redio sio yako so eiza jiunge nao au achana nao.wengi sio wakali wanatengenezwa na wanahitaji hilo.Njaa

Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?

Mimi ni msanii wa kwanza kukusanya wasanii wengi sehem moja,tulikua na nguvu na naenda nao kokote.wadau wakaogopa wanajua nina uwezo.wanajua

Credits:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ili kuendeleza muziki bongo inatakiwa segment ya kurequest ngoma itolewe ili ibaki chaguo kwa maDjz aaf tuone kama marapa vidampa watakuwepo.....inauma sana msanii kama chid kuto kusikika redion

    ReplyDelete

Top Post Ad