google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Chris Brown: Sitochukia kama Rihanna akinicheat na mwanamke | UDAKU SPECIAL

Chris Brown: Sitochukia kama Rihanna akinicheat na mwanamke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


CHRIS Brown anakubali kuwa hatojali kama Rihanna asipokuwa mwaminifu kwake lakini ni kama tu akifanya yake na mwanamke mwenzie.

Rihanna kwa sasa yupo kwenye ziara yake ya dunia Diamonds ambayo itamalizika October. Na Chris anakubali kuwa Rihanna anaweza akapitiwa akamsaliti japo hatoumia kama akimcheat na mwanamke.

“If it was a girl it would be cool. I ain’t with that if it was another guy,” alisema Chris baada ya kuulizwa atajiskiaje akisalitiwa na Rihanna.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad