Dada Zetu Na Mapenzi Na Wazungu..Kunani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi Kuna nini siri kati ya hawa dada zetu ambao wamepata kuwa na uhusiano na wazungu kisha mambo hayakwenda sawa wakachana na mzungu mmoja...Huendaendelea kuwinda wazungu tu?

Na kwanini hata akipata mswahili mwenzie mapenzi hayadumu kwa muda mrefu atarudi kwa wazungu? Na kingine swahili nao wakuona dada kashawahi kuwa na mzungu na wao huwa kama wanampotezea ni nini behind of all this?

Najiuliza sana ni kwanini....Nijuzeni basi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umasikini wao unawasumbua na fikra potofu.wanaona ngozi eti inalipa cha msingi waheshimu miili yao thamani ya mtu hainunuliwi.

    ReplyDelete
  2. ugumu wa maixha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watoto wengi wa wa wakubwa wako na wazungu .Hawataki kushare wealth na watoto wa kimaskini.

      Delete
  3. Sababu kubwa ni kwamba wazungu wengi ni mabwege, wakiwapata wanawacontrol, wanatoa hela ovyo vile mishahara yao wakiwa huku inawekwa bank kwao halafu wanapewa pesa za mafafu za kuchezea, wazungu c watombaji wazuri ila wanazama chumvini sana kwa hio dem anakojoa kirahisi, sio wafatiliaji hata kama dem ana bf mwingine wala hayajaligi. Vitu hivi kwa mtu kama mm hata robo hatapata manake inabidi uwe mwanamme bwege .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanatombana haswaa.Kwani wazungu wote ni Kama Gay wa mange .Huyo wa Mange ni gay na yeye na Mange ni deal hapo.Mange analalamika mpaka kwa Mashoga zake .Na sio wanawake wote Wanapenda mnoo Muda wote .kwa taarifa yako wazungu hawatoi pesa hivyo

      Delete
    2. Nasikia ni gay yaani hizi pesa hizi zitatuua wanawake .Lakini katangaza Kwenye blog yake mume wake ananunua mbwa .Huyo mbwa atamridhisha .Maana wabongo walimkomesha walivyo leak email yake

      Delete
  4. wanafwata pesa na raha ya kunyonywa nyeti zao ndio v2 wanavyofwata

    ReplyDelete
  5. Kuna makundi tafauti katika dada Zetu wanaokwenda mbioa na wazungu kama ilivyo sisi wanaume lakini kwa kuwa mada imelenga kwa kina Dada nitachangia kwa uzowefu wangu nilionao katika Baadhi yaNchi za Ulaya wanzoishi Dada zetu hasa wa Kitanzania ,Kuna kundi ambalo wao wanatafuta utajiri ,kundi jnengine wantaka wapate watoto na mzungu ili kuwe na kivutio cha mchanganyiko wa rangi katika familia ili ivutie au ipate kutambulika hafu kuna kundi ambalo wao wanfurahia hisi wazungu wanavyo waingilia kimapenzi hapa nitaweka sawa karibu mara zote nasema mara zote Mzungu akimpata mwanamke wa kiafrika basi nilazima amuwanzishe kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kusibitisha hilo kama unaishi ulaya na unao marafiki wakizungu male friends subiri mkiwa mpo bar nao halafu ongelea hilo na kusifia makalio then uliza vipi unapokuwa na msichana mweusi wanakuwa wawazi kabisa na kusema nini huwafanyanyia na ndio unakuta baadhi ya dada zetu akisha kuwa na Muzungu ukiwa nae wewe musuwahili mwenziwe hutowa katika sehemu ya mbele na kupeleka nyuma bila hata wewe kujuwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajua mnafikra Za ajabu sana .watoto wa vigogo mbona wameolewa na wazungu mnoo kuliko wa vijijini.Anna makinda na wengine wanao wameolewa na wazungu wako kimya

      Delete
  6. hivi wewe ulieficha jina huwezikucomment kuhusu hii mada iliyoko hapa mpaka tu umtaje mange wawatu unazunguka blog zote kumchafua mange unafaidika nini wivu tu na watoto wawatu na hajakukosea kiti kama amekukosea kwanini usimface ukamwambia subutu unamwogopa ndio maana unaficha jina kazi kuzunguka kila blog kuchafua mange mwenyewew hana hata habari anaendelea na maisha yake wewe kutwa mange mange anakunyima usingizi sana lione hiloooooooooooo uawasiwasi kama mwanamke alie sahau kuvaa chupi kuhusu mange anayekunyima usingizi imekula kwako mwako huu wewe ulie mwenzie ameshasema ahesabu matusi anahesabu pesa uko hapo mpaka hapo lione kwanza unasura mbaya kama anayeshindia changaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aisha senkoro na mange waligombana kwa ajili ya mange kumweleza Aisha kwamba mumewe ndio hivyo .Habari ya kweli

      Delete
  7. Angalia definition ya mange ni
    Mbwa did you know that?wazazi wake kwa nini wampe jina la mange

    ReplyDelete

Top Post Ad