Dating your best friend, how good/bad can it be?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo naomba tudiscuss hii ishu ya kudate(kuwa na mahusiano ya kimapenzi) na rafiki yako wa karibu. Kwanza naomba nitangaze maslahi binafsi,mimi mke wangu kabla hatujaanza uhusiano wa kimapenzi,alikuwa ni rafiki yangu wa ukweli yaani for like three years, tulikuwa tumeshibana kweli kweli,i knew everything about her, and likewise she knew all about me.
Tulipoamua to take our friendship into the next level kwa kweli ile transformation period from friends to lovers it was hard to be honest, ilibaki kidogo tu tukate tamaa, hasa pale ambapo ilibidi kuvuliana nguo,ile the first time it was hard and awkward, lakini baada ya hapo,imekuja kuwa the best thing that has ever happened to us,yaani ubest umezidi, amekuwa my closest person, my best friend,my best companion, tunaweza kuongea masaa 24 bila kuchoka,it has been 11 years, lakini ukituona utasema ndo tumeoana juzi.
Sometimes tunaongea tunaulizana what if we gave up during the transformation period? We would have made the worst mistake of our lives,au what if kila mmoja angebaki tu na dukuduku lake moyoni?
Leo nataka tu kushare nanyi kuhusu ugumu au urahisi wa kumgeuza rafiki yako kipenzi kuwa mpenzi wako. Karibuni
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad