Diamond "Warembo London mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama Diamond.”

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.
 
Mkali huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo juzikati kupitia website yake alipokuwa akizinadi shoo hizo atakazofanya kwenye majiji ya London na Reading, Uingereza ambapo aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo kupendeza ili achague mmoja atakayekuwa mchumba’ke.


Bila kujali mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba ambaye ni Penniel Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka: “Mashabiki wangu wa London na Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara nyingine. Warembo mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja kumtambulisha kwa mama Diamond.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ushamba unamsumbua

    ReplyDelete
  2. Hana jipya ni kutaka misifa tu huyo dogo.

    ReplyDelete
  3. Wabongo hamjui kitu ukisikia lugha za kibiashara ndio hizo,hapo hamaanishi kuwa anataka demu wa huko kweli Bali anaanda mazingira ya show yake,kumbuka platnumz nyimbo inaitwa KESHO sasa ukiwa unajua mashairi ya nyimbo ile ndio utajua nini platnumz anamaanisha,is me c-plus

    ReplyDelete
  4. Anajua stylistic....commercial language basing on his single kesho where its noticed "kesho nataka nkupeleke nyumbani"

    ReplyDelete
  5. duh upo juu kijana na penny je????????????????

    ReplyDelete
  6. jamani watu mmemwelewa vby kijana wa watu cio kwamba atarudi na mchumba wa kumtambulisha kwa mama yake,hiyo ni mikogo tu ya kuwavuta watu kwa shoo! big up kijana!

    ReplyDelete
  7. Tatizo ushamba pamoja na kujidhania kwamba ni star lakini bado inaonekana his brain is naked.

    ReplyDelete
  8. Star wapi atoe hirizi analoyopewa na Ustathi wake aone cha moto!!!kama huyo penny atakaa!!!
    Dawa ya mvuto hiyo ndio inampa jeuri!!!ngoja ichuje son of B,,, Ch!!!!

    ReplyDelete
  9. Get relaxed dears

    ReplyDelete

Top Post Ad